Vibibi vizee vya turin Juventus ya Italia imecheza
ugenini usiku wa kuamkia leo dhidi ya FC Monaco katika mchezo wa kwanza wa nusu
fainali michuano ya Klabu bingwa ulaya na kuchomoza na ushindi wa mabao 2-0 .
Mabao ya ushindi ya Juventus yalifungwa na
Mchezaji Gonzalo Higuain katika dakika ya 29 kipindi cha kwanza na bao la pili
Dakika ya 59 kipindi cha pili.
Timu
hizo zitarejeana tena mnamo mei 9 mwaka huu.
Post a Comment