Raundi ya tatu ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
inaendelea leo kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja tofauti nchini.
Mnyama Simba Sports club atashuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya kuwa kwenye matengenezo kwa muda mrefu Simba na Ruvu shooting watafungua uwanja huo katika mchezo wa LIgi kuu vodacom Tanzania bara utakaoanza saa 10:30jioni.
Mechi nyingine za ligi kuu leo Young Africans
watakaribishwa na Ndanda FC ya Mtwara kwenye Uwanja wa Nangwanda
Sijaona.
Azam imesaafiri hadi Mbeya kucheza
na Tanzania Prisons ya Mbeya kwenye Uwanja wa Sokoine.
About Author

Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ruvu kipigo kinawahusu
ReplyDelete