Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
Bara (VPL) msimu wa 2016/2017 inaendelea tena leo Jumamosi Septemba 17, 2016
kwa michezo sita kupigwa katika viwanja tofauti nchini.
Mnyama Simba atakuwa katika
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam akikipiga na Azam fc, Simba na Azam zina
pointi 10 kila moja baada ya kucheza mechi nne ambako kila moja imeshinda mechi
tatu na kutoka sare moja.
Mechi nyingine yenye mvuto ni
kati ya Tanzania Prisons kuwa mgeni wa Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine
mjini Mbeya.
Tumekuekea hapa ratiba yote
ya Ligi kuu Tanzania bara leo
Simba Vs Azam
Mtibwa Sugar Vs Kagera Sugar
Mbeya City Vs Tanzania Prisons
Mwadui FC Vs Young Africans
NB: Mechi zote kupigwa saa
10:00 jioni
Post a Comment