SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA YAVUNJA UTEJA KWA MBEYA CITY NA KUKAA KILELENI VPL
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Simba sc imeibuka na ushindi wa bao 2-0 baada ya kuwafunga Mbeya City ya Mbeya na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu kwa pointi 49 ...


Simba sc imeibuka na ushindi wa bao 2-0 baada ya kuwafunga Mbeya City ya Mbeya na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu kwa pointi 49
Danny lyanga aliiandika simba goli la kwanza mnamo dakika ya 75 ya mchezo baada ya Awadh Juma kupiga shuti liliotemwa na goli kipa. Mnamo dakika ya 90 Ibrahim Ajibu aliandikia Simba Goli la la pili na la ushindi

Hadi mpira una malizika Simba 2-0 Mbeya City Kwa Matokeo hayo simba anakuwa anaongoza msimamo wa ligi kwa tofauti ya point moja na Yanga pamoja na Azam aambao wanakiporo cha mchezo mmoja.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top