SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA KUREJEA TENA KILELENI LEO? YAIKARIBISHA NDANDA TAIFA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Michezo miwili ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuchezwa leo katika viwanja viwili tofauti nchini kukamilisha raundi ya 22...
Michezo miwili ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuchezwa leo katika viwanja viwili tofauti nchini kukamilisha raundi ya 22

Wekundu wa Msimbazi Simba Sports club watawakaribisha Ndanda FC kutoka Mtwara katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Simba itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na kumbukumbu nzuri baada ya jumapili kuwafunga mbeya city goli 2-0 katika uwanja wa Taifa.

Mchezo mwingine wa ligi kuu leo wagonga nyundo wa jiji la Mbeya timu ya Mbeya City wakiwakaribisha Stand United chama la wana katika uwanja wa Sokoine.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top