Simba sports club leo wana nafasi ya kuongoza msimamo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara
watakapowakaribisha Mbeya city katika uwanja wa Taifa Dar es salaam.
Simba itahitaji ushindi ili kuweza kushika nafasi ya kwanza katika
msimamo wa ligi hiyo baada ya vinara wa ligi hiyo kwa sasa Yanga na Azam wenye
pointi 46 kwenda suluhu jana
Kila la khery Simba Sports club leo
About Author

Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment