SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA YAKUBALI KICHAPO KUTOKA KWA YANGA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Wekundu wa Msimbazi Simba Sports wamekubali kichapo cha goli 2-0 toka kwa mahasimu wao wa jadi Yanga. Magoli ya Yanga yalifungwa katika...
Wekundu wa Msimbazi Simba Sports wamekubali kichapo cha goli 2-0 toka kwa mahasimu wao wa jadi Yanga.

Magoli ya Yanga yalifungwa katika vipindi tofauti baada ya beki wa kati Abdi Banda kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Goli la kwanza lilifungwa na mchezaji Donald Ngoma dakika ya 39 kipindi cha kwanza.

kipindi cha pili Yanga walipata goli la pili kupitia kwa mchezaji wake Amis Tambwe katika dakika ya 72 kipindi cha pili.

Kwa ushindi huo Yanga imekamata usukani wa ligi kwa kufikisha alama 46 ikifuatiwa ma Simba yenye alama 45 sawa na Azam iliyoshinda mabao 3-0
Stand United ametoka sare ya bao 1-1 dhidi ya JKT Ruvu wakati mjini Tanga Mgambo imetoka sare ya bao 1-1 na Prisons.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top