SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA WAFUZU ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO WAISHUSHIA MVUA SINGIDA UNITED
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Wekundu wa msimbazi Simba sports club wamefuzu hatua ya  robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuichapa te...
Wekundu wa msimbazi Simba sports club wamefuzu hatua ya  robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuichapa team ya daraja la kwanza Singida united ya mkoani singida kwa bao 5-1 kwenye uwanja wa taifa.



Hamis Kiiza na Awadh Juma walifunga mabao mawili,  Danny lyanga alifunga bao moja na kufanya mchezo huo  kumalizika kwa ushindi wa bao 5-1



Kwa ushindi huo Simba inatinga hatua ya robo fainali ikiungana na Yanga, Coastal union, Ndanda na Mwadui

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top