Kalaghe Secondary School Kalaghe Secondary School Author
Title: SIMBA YALIPA KISASI KWA MTIBWA KIIZA SHUJAA WA MCHEZO
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
SIMBA imelipa kisasi kwa kuifunga Mtibwa Sugar bao 1-0 ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. ...
SIMBA imelipa kisasi kwa kuifunga Mtibwa Sugar bao 1-0 ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Goli la Simba limefungwa na Amis Kiiza katika dakika ya nane kipindi cha kwanza bao ambalo limedumu hadi dakika ya 90 ya mchezo na kuishuhudia Simba ikiondoka uwanjani na pointi tatu mbele ya Mtibwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top