Kalaghe Secondary School Kalaghe Secondary School Author
Title: SIMBA KUKIPIGA NA BURKINAFASO LEO KOMBE LA FA MZUNGUKO WA TATU
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) unatarajiwa kuendelea wikiendi hii kuchezwa katika viwan...
Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) unatarajiwa kuendelea wikiendi hii kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini.
leo jumamosi michezo mitatu itachezwa, mjini Morogoro Burkinfaso FC watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Jamhuri mjini humo,  Pamba FC watawakaribisha Toto Africans uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, huku Ndanda FC wakichea dhidi ya Mshikamno FC katika uwanja wa Nagwanda Sijaona Mtwara

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top