Kalaghe Secondary School Kalaghe Secondary School Author
Title: MTIBWA YAIVUA UBINGWA SIMBA KUKUTANA NA URA FAINALI
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi Simba SC wameaga rasmi mashindano ya kombe la Mapinduzi mwaka 2016 baada ya kukubali kichapo cha b...
Mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi Simba SC wameaga rasmi mashindano ya kombe la Mapinduzi mwaka 2016 baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 toka kwa Mtibwa Sugar.
Kwa matokeo hayo Mtibwa wanatinga hatua ya fainali na kukutana na URA ambao wamewaondoa Yanga kwa mikwaju ya penat ya (4-3)

Fainali ya Mapinduzi cvup itapigwa siku ya jumatano

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top