Mabingwa watetezi Wa kombe la Mapinduzi Simba SC imeibuka na ushindi Wa bao 1-0 dhidi ya Jku ya Zanzibar
Bao pekee la Simba liliwekwa nyavuni
katika dakika ya 65 na Jonas Mkude kwa kichwa akimalizia krosi safi ya
beki wa kulia Emery Nimubona ambaye ameonyesha kiwango cha juu katika
michuano hii ya kombe la Mapinduzi.
Kwa matokeo hayo Simba imeongoza
kundi A hivyo itaumana na Mtibwa siku ya jumapili saa 10:15 alasiri huku
Yanga wao wakipepetana na URA siku hiyo hiyo saa 2:15 usiku.
Fainali ya michuano hii itapigwa siku ya jumatano.
About Author

Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment