Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa 15 unatarajiwa kuendelea leo
Jumatano kwa michezo mitano, na Alhamisi kwa michezo mitatu kwa kila
timu kusaka pointi tatu muhimu katika mzunguko huo.
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Maafande wa JKT Ruvu
watawakaribisha Simba SC, Ndanda FC watakua wenyeji wa Mbeya City kwenye
uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Tanzania Prisons watakua wenyeji wa Coastal Union katika uwanja wa
Sokoine jijini Mbeya, Stand United watacheza dhidi ya Toto Africans
kwenye uwanja wa Kambarage, huku Mgambo Shooting wakiwakaribisha Azam FC
kwenye uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
LIGI KUU TANZANIA BARA LEO SIMBA NA JKT
Title: LIGI KUU TANZANIA BARA LEO SIMBA NA JKT
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa 15 unatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa michezo mitano, na Alhamisi kwa michezo mitatu kwa kila timu k...
Post a Comment