Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa bao 4-0 kwenye mchezo wa kwanza
wa raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu.
Hamis Kiiza alifunga mabao mawili, Hassan
Kessy na Haji Ugando waliifunga bao moja moja na kufanya
mchezo huo kumalizika kwa ushindi wa bao 4-0
Kwa matokeo hayo Simba imefikisha pointi 36 katika nafasi ya tatu pointi 3 nyuma ya Yanga na Azam zinazoongoza ligi hiyo.
LGI KUU TANZANIA BARA: SIMBA YAENDELEA KUTEMBEZA DOZI TAIFA
Title: LGI KUU TANZANIA BARA: SIMBA YAENDELEA KUTEMBEZA DOZI TAIFA
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa bao 4-0 kwenye mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu. ...
Mdogo mdogo tutafika
ReplyDeleteMdogo mdogo tutafika
ReplyDeleteKimbiza mwizi kimya kimya
ReplyDelete