Kalaghe Secondary School Kalaghe Secondary School Author
Title: TANZIA: MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA TBC FLORENCY DYAULI AMEFARIKI DUNIA
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
MWANDISHI  wa habari mwandamizi wa Shirika la Utangazaji nchini TBC FLORENCY DYAULI (Pichani enzi za uhai wake)amefariki dunia u...


MWANDISHI wa habari mwandamizi wa Shirika la Utangazaji nchini TBC FLORENCY DYAULI (Pichani enzi za uhai wake)amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua.
FRORENCE DYAULI amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya RABININSIA MEMORIAL jijini  Dar es Salaam, ambako alikuwa akipata matibabu.
Dyauli alizaliwa  tarehe   27 mwezi wa saba mwaka 1961 na amefariki dunia tarehe   18/06/2015.
Marehemu DYAULI alisoma shule ya msingi   CHANG’OMBE mwaka 1968 hadi 1975.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top