Mshambuliaji mpya wa wa Chelsea Alvaro Morata huenda Akakaa nje kwa zaidi ya
mwezi mmoja baada ya kuumi misuli ya paja wakati wa mechi waliofungwa 1-0
Manchester City Jumapili.
Mshambuliaji huyo wa
umri wa miaka 24 alijiunga na Chelsea kwa £60m majira ya joto kutoka Real
Madrid, ada iliyovunja rekodi Chelsea.
Madaktari wa timu ya
taifa ya Uhispania wanasema alipata jeraha la kwenye misuli yake na hataweza
kucheza mechi za kufuzu za Kombe la Dunia dhidi ya Albania na Israel wiki hii.
Majeraha kama hayo
kwenye misuli mara nyingi huchukua wiki nne hadi nane kupona.

Post a Comment